MSALABA MWEKUNDU KUTEMBELEA MAGEREZA MPANDA- KATAVI

MSALABA MWEKUNDU KUTEMBELEA MAGEREZA MPANDA- KATAVI

8 May kila mwaka msalaba mwekundu (RED CROSS) huazimisha siku yao, Mpanda mkoani Katavi leo msalaba mwekundu wameadhimisha siku yao kwa kutembelea magezeza iliyopo katavi na kuwapatia zawadi ambazo zitawasaidia katika maisha yao ya kila siku

Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu  nishirika la kibinadamu lenye kuwahudumu na kujitolea takriban milioni 97 duniani kote  ambayo yalianzishwa ili kulinda masilahi ya afya ya binadamu, kuhakikisha heshima kwa hulka ya mwanadamu na kuzuia na kupunguza mateso ya kibinadamu, bila ubaguzi wowote kwa misingi ya utaifa, rangi, jinsia, imani za kidini daraja la kijamii au maoni ya kisiasa.