BANDARI YA KAREMA YAWA GUMZO KATIKA USAFIRISHAJI

BANDARI YA KAREMA YAWA GUMZO KATIKA USAFIRISHAJI

Naibu Waziri wa uchukuzi Dr David Kihenzile amefanya ziara katika bandari ya karema iliyopo mkoani Katavi kwaajili ya kufanya ukaguzi wa meli nne za mizigo zinazo Fanya shughuli safari zake kutokea Tanzania kuelekea congo DRC na kushukuru serikali kwa kuendelea kurekebisha miundombinu ya bandari ikiwemo Barabara inayotokea  kagwila hadibandari ya karema nyenye urefu wa kilomita 112

Ziara hiyo imefanyika leo February 21 2026, naibu Waziri ameipongeza mamlaka ya bandari Tanzania kwa kuendelea kushirikiana na watu wan chi nyingine ikiwemo kampuni kubwa kutokea chin ana kendelea na ujenzi wa meli nyingine zenye uwezo wa kubeba mizigo takribani tani 2000